حملة (لا حج بلا تصريح) باللغة السواحلية

Wageni wanaokiuka masharti ya kupata kibali cha kutekeleza Ibada ya Hija adhabu yake ni kurejeshwa katika matafa yao na kuzuiliwa kuingia tena Saudi Arabia kwa mujibu wa muda uliyowekwa kikanuni